Njia rahisi ya kutunza kumbukumbu za kifedha

Ikiwa ni Binafsi, Biashara, Kampuni nakadhalika...

Download app

Get Started

Kuhusu sisi

 • Skymkoba: Ni njia rahisi ya kutunza taarifa za kifedha
 • Mtu Binafsi: Unaweza kutunza taarifa za matumizi binafsi kama vile manunuzi, usafiri na mengineyo.
 • Mjasiliamali: Unaweza kutunza taarifa za mauzo na matumizi katika biashara yako.
 • VICOBA: Watu walio kwenye vikoba wanaweza kutunza taarifa za kikundi.
 • Makampuni: Yanaweza kutunza taarifa za mauzo yasio na kipimo.

Vifurushi

NUNGUNUNGU
FREE
 • Akaunti 1
 • backup ya bure
 • Taarifa za Siku, wiki & mwezi
SWALA
TSH 500 / Mwezi 1
 • Akaunti 2
 • backup bila kikomo
 • Taarifa za siku, wiki & mwezi
 • Taarifa kuanzia tarehe fulani hadi tarehe fulani
 • Akaunti shirikishi (1)
TWIGA
TSH 1,500 / Mwezi 1
 • Akaunti 5
 • backup bila kikomo
 • Taarifa za siku, wiki & mwezi
 • Taarifa kuanzia tarehe fulani hadi tarehe fulani
 • Akaunti shirikishi (5)
 • Kuhamisha data kutoka akaunti moja kwenda nyingine
TEMBO
TSH 3,000 / Mwezi 1
 • Akaunti bila kikomo
 • backup bila kikomo
 • Taarifa za siku, wiki & mwezi
 • Taarifa kuanzia tarehe fulani hadi tarehe fulani
 • Akaunti shirikishi bila kikomo
 • Kuhamisha data kutoka akaunti moja kwenda nyingine
 • Takwimu katika taswira tofauti tofauti kama grafu

Namna ya kununua kifurushi

Vodacom mpesa logoM-Pesa
 1. Piga *150*00# kupata huduma za M-Pesa.
 2. Chagua Namba 4 - LIPA kwa M-Pesa
 3. Chagua Namba 4 - Weka namba ya kampuni
 4. Weka namba ya kampuni- 405656
 5. Weka kumbukumbu namba- anza na 251 ikifuatiwa na namba yako uliyotumia kujisajiri kwenye SkyMkoba. mfano 2510693157655
 6. Weka kiasi unachotaka kulipa, kutegemeana na kifurushi ulicho chagua
 7. Weka namba ya siri kuhakiki.
 8. Utapokea ujumbe kuwa tumepokea malipo yako.
Tigopesa logoTigo Pesa
 1. Piga *150*01# kupata huduma za Tigo Pesa .
 2. Chagua Namba 4 - Lipa Bili
 3. Chagua Namba 3- Ingiza namba ya kampuni
 4. Ingiza namba ya kampuni- 767676
 5. Weka kumbukumbu namba- anza na 251 ikifuatiwa na namba yako uliyotumia kujisajiri kwenye SkyMkoba. mfano 2510693157655
 6. Weka kiasi unachotaka kulipa, kutegemeana na kifurushi ulicho chagua
 7. Weka namba ya siri kuhakiki.
 8. Utapokea ujumbe kuwa tumepokea malipo yako.
Airtel Money logoAirtel Money
 1. Piga *150*60# kupata huduma za Airtel Money.
 2. Chagua Namba 5 - Lipia Bili
 3. Chagua Namba 4- Weka namba ya kampuni
 4. Weka namba ya kampuni- 767676
 5. Weka kumbukumbu namba- anza na 251 ikifuatiwa na namba yako uliyotumia kujisajiri kwenye SkyMkoba. mfano 2510693157655
 6. Weka kiasi unachotaka kulipa, kutegemeana na kifurushi ulicho chagua
 7. Weka namba ya siri kuhakiki.
 8. Utapokea ujumbe kuwa tumepokea malipo yako.
Njia mbadala
 1. Wasiliana nasi: 0693 157 655 / 0693 157 658
 2. Unaweza kuchagua njia mbadala ya malipo kama Benki au pesa mkononi
 3. Endapo ulitumia email wakati wa kusajili, Hariri wasifu wako na uongeze namba ya simu

Programu ya simu

Tunashauri utumie aplikesheni ili kurahisisha uwekaji wa kumbukumbu, Pakua kwa kubonyeza hapa, au tembelea Google play tafuta SkyMkoba, pakua kisha weka kwenye simu yako.

Wasiliana nasi / Toa maoni yako.

Ikiwa una tatizo au una kitu cha kutushirikisha