Jinsi ya kujiunga na mfumo wa kutunza kumbukumbu za mapato na matumizi

SkyMkoba ni Aplikesheni maalumu kwa ajili ya kutunza kumbukumbu za mapato na matumizi, Aplikesheni hii ni rahisi kutumia na ni njia ya kuaminika katika uhifadhi wa taarifa.

Jinsi ya kujinga

  1. Ingia katika Google Play Store, tafuta neno SkyMkoba
  2. Chagua Skymkoba -Todaysky
  3. Pakua App kwa kubofya neno Install
  4. Fungua App kwa kubofya neno Open
  5. Jisajili kwa kuweka namba simu au Email yako pamoja na password, password isipungue herufi au namba sita.
  6. Anza kuweka taarifa zako za mapato na matumizi.